Saturday, June 13, 2009

BABA WAWILI WA UKWELI WA EBONY FM


JAMAA ANAUPA TAFU YA KUTOSHA MUZIKI WA BONGO , ANAWAPA UNDERGROUND AIR TIME YA KUTOSHA, MTAMBUE VIZURI JINA LAKE NI EDWIN BASHIRI ANAPATIKANA PALE MTAA WA UHINDINI IRINGA

MAZEE WA THE SPLASH

DJ MUBA KUSHOTO AKIWA NA EDWIN BASHIRI HAO NDIO WAZEE WA THE SPLASH KIPINDI AMBACHO NI BURUDANI KUANZIA SAA NANE HADI SAA KUMI KATIKA 88.7 EBONY FM IRINGA

LADIEZ' TABASAMUZ

kushoto ni mwanadada Mwadharau Mthola akiwa na mwanadada Agness wakiwa wamepozi katika ofisi za radio Ebony Fm wote ni watangazaji wa ebony fm iringa

NITAFUTE


Jamaa amejipumzisha unamuona kweli

KITIMOTO NI MOTO


Nina mashaka sana na wale tunaovutiwa na yule mnyama kwa kweli khali si shwari sanaaaana Mafua ya nguruwe yameshaathiri Watu 28,000 dunia na kusababisha vifo vya watu 141

Monday, June 8, 2009

TUNDA MAN NAE ALIKUWEPO

MKALI WA HISIA NAE ALIWAPAGAWISHA WATU

KUNA RAHA YAKE KUWA KARIBU NA WAREMBO



NAMI PIA SIKUJIKOSESHA TUKIO MUHIMU KAMA HILI HAPA MKOANI IRINGA HAPA NIKIPOZI NA WASHINDI WA MISS IRINGA 09